Bwana Yesu akitoa mamlka kwa kila Muumini kushughulika na vijini/pepo.
Ni utapeli kuwageuza waumini watuhumiwa wa mapepo alafu eti kuna MTU mmoja star. Ndiye anayeyatoa.
Kwa Mujibu wa Yesu hii ni KAZI mdogo kuliko zote kanisani na inafanywa na muumini tu. Tena ilitakiwa watoanie mapemo huko majumbani ikifika kanisani Kyle mtume afundishe neno na awakumbushe waumini mamlaka yao.
Ujinga ni miongoni mwa dalili za kuja kwa Yesu.
Watu wangu wanaangamizwa kwa kukosa maarifa
Huku kutoana pepo kupepea vitambaa kupakwa mafuta ya alizeti (yaliyochujwa) kunywa maji ya muujiza (uhai) ni wajinga tu ndio wataamini...
Wapiga kelele majukwaani kwenye nyumba za kukwepa kodi ya serikali (aka kanisa) target yao ni WANAWAKE Period!
Wanawadanganya Wanawatumia Wanawarubuni Wanawaaminisha yasiyowezekanika, wanashurutisha kuwaabudu na kuwaogopa kwa neno la
** Mtume Mtumishi wa Mungu Nabii Aliyebarikiwa Mchungaji Mwombezi nk**
Hawa ni matapeli wa kiwango kingine njia tofauti..
Wanawageuza Wanawake hawa ' chombo cha starehe, kitega uchumi, wafanyakazi wao wasiolipwa ajira (kusafisha nyumba ya mtumishi kanisa kwenda sokoni kupiga na mengine mengi ya kufanana na hayo)
Wapo wazawa na wageni wengi tu wanachuma pesa kwa kupitia migongo ya waumini hawa ambao wengi ni wajane yatima maskini na zaidi wenye uchu wa kuolewa.... Serikali haikemei kwa nini? Tuanzie hapa
Serikali iagize Wakuu wa Mikoa Wilaya kuitisha la mgambo hawa wajulikane credentials zao huduma zao mapato yao na zaidi udanganyifu na dhuluma kwa wananchi
Yes indeed ' Watu wangu Wanaangamia kwa kukosa maarifa'
Mwisho wa siku nchi itabaki nchi ya waganga wachawi wapiga ramli (aka watumishi wa...... wa mabox)
This has to stop
* mods msifute comment yangu tafadhalini*
Wengine wetu tumeshuhudia wazazi jamaa zetu wakiangamia kwa ujinga huu... so tunajaribu kupaza sauti
Wazee/Wajane wengi wanadhulumiwa na hawa watu hatari