Baba wa mbingu
JF-Expert Member
- Jul 30, 2022
- 563
- 1,362
ni hatari na janja anapiga vibarua vya ujenzi yaani ni mwendo wa zege, kupandisha tofali na kuchimba misingi yaania kalaani sana icho kitendoJobless tunapata shida sana, hata kidogo tulichonacho wanakichukua pia