Wadau mimi ni mmiliki wa eneo lililo kwenye mradi wa upimaji viwanja ,kwa sasa manispaa imeanza kulipa fidia ambayo wengi wamelalamikia,kumemua hakuna ufafanuzi mzuri kuhusu fidia ..naomba msaada kama kuna mdau mwenye taarifa sahihi.
Sawa, mtoa mada anaweza akawa amekosea lakini kuna ukweli ndani mwake. Nilisoma mwaka jana katkati kwenye Mwananchi likielezea kesi waliyofungua watu wa Gezaulole wakipinga huo mradi na mazagazaga yake.
Naamini wapn watu humu wana-data za uhakika watatusaidia.