Pdidy
JF-Expert Member
- Nov 22, 2007
- 57,951
- 32,619
Habarini za uzima wana nchi
Baada ya kuwatetea kuwapigia kelele sana hapa wananchi wa kipunguni walipwe
Sasa serkl imeanza kulipa wananchxi wa kipunguni waondoke
Sasa siku moja kabla ya malipo serkl ya mitaa ikaitisha mkutano wa wananchi
Ktk mkutano huo wengi walijua mda na wakati wa kwenda kuchukua pesa zao
Ajabu masaa mawili yanaongelewa swala la wakili
Kuna wnananchi 300 miaka15 iliyopita walienda mahakaman kuomba serkl wafanye tathmini upya
Wakakubaliana na wakili wao kila mmoja alipe mil 1.8
Wakalipa mil 45 tu
Sasa wamesikia serikali inatoka helà wanalazimisha wananchi wote walipe 216"000
Huyu n utapeli uliokubuhu
Serikali na taa na wizara ya ardhi mnaombwa fwatilieni hili jambo na jumamosi wameitisha kikaoo kingine kushinikiza wana chi wakatwe 216"000
Jumla ya wananchi wanaopokea mgao n 1860 x 216"000
Huyu n utapeli wa hali ya juu
Kinachoafanyika wameambiwa kikaon waliokubaliana ndio wakalipe kama ubinadamu waacheni wananchi waamue wachangie ngapi sisos kuwapangia
Hawakuwepo kwenye makubaliano na wakili wenu
Hata hizo docs za.Makubaliano wakionbwa hawazitoi
Wananchi wengi wako radhi kuchangia 100"000 na sio
216,000 wanazolazimisha
Hii michezo michafuu inabidi serikali iwe makini sana inapolopa wahanga wa ardhi
Kuna awahini wachache wamekaa kusubiria kila malipo ya serikali yakifanywa waangalien wanawainiaje wananchi
Kifupi tu hiloo dili halitafanikiwa kama mpo mliohusika kutaka kuwapigia wananchi
Na hizi taarifa zimefika wizara ya ardhi .Ujenzi na taa
Dunia tamu sana
Ombi
Taa
Wasitokee watu wakalazimsiha makato ya 216"000 bila ridhaa yao
Kesi yao n ndefu na hamtaweza kuisogelea...Maana akinachoendelea wanataka kuiomba taa ikate pesa za wananchi moja kwa moja wapelekwe hao wahuni
All dbest