Utapeli ulivyonirudisha Jamii Forums baada ya miaka 14

Kuna watu niwajinga Yaani unachukua Pesa Eti Unawekeza !!
Unawekeza Kwenye Vitu vyakufikirika kabisa!!
Kuna muda Serikali inamambo mengi yakufanya Iwaache Wajinga hao
Tokea Kina DESI nk
Inakuaje kampuni kama hizo zinaingia nchini,nakufanya kazi hadi watu wakubwa walizwe ndo dola inashtuka!!!! Why this?
 
Hahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…