Hivi karibuni kumeibuka tapeli mmoja hapa MBY ambaye ni mzee wapata kama miaka 50, mzee huyo anatumia usafiri wa pikipiki na hutembelea maduka ya watu mbalimbali na utapeli wake ni kama hv. Mzee anajifanya kama alikuwa kamati ya vinywaji harusini , na hivyo anakwambia kuna vinywaji ambavyo vimebaki ( soda) kwa hy anviuza kwa bei lahisi yaani kreti kwa sh 9000, na anakwambia chupa atachukua hata baada ya siku tatu. Na idadi ya kreti anazotaja ni sita tu.
Baada ya hapo anakwambia nipe kijana wako mmoja niende nae na umkabidhi kijana wako hela , na akikuahidi kwamba hz soda zipo ukumbi wa magereza mbeya. Akifika ukumbi wa magereza anashawishi na kuchukua hz hela na kumwambia kijana uliemtuma asubili hapo njee na yeye hutokomea na hz hela akiwa na pikipiki yake, kisha waliza watu watatu mpaka sasa , hvy nawatahadharisha wanajf wa mbeya kuwa makini na mzee huyu .