alma gemela JF-Expert Member Joined Feb 22, 2013 Posts 842 Reaction score 280 Sep 25, 2013 #21 Huyo fred jana amenitumia sms kuwa naitajika kwenye interview kibaha tar 4/10/2013. Bila kutoa vielelezo vyovyote pia amenisumbua sana mpaka nimeangalia namba yake kwenye airtel money ndio nimejua jina lake kumbe bonge la tapeli
Huyo fred jana amenitumia sms kuwa naitajika kwenye interview kibaha tar 4/10/2013. Bila kutoa vielelezo vyovyote pia amenisumbua sana mpaka nimeangalia namba yake kwenye airtel money ndio nimejua jina lake kumbe bonge la tapeli