BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,790
- 288,165
Wakuu,
Baada ya oparesheni dhidi ya ufisadi katika BoT, Serikali sasa inaelekeza juhudi kwenye kashfa ya Import Support Scheme, ambako yen Bilioni 16.6 (takriban shilingi bilioni 180) zilitoweka.
Wizara ya Fedha imeamua kuajiri kampuni binafsi za ukusanyaji madeni ili kuwadai wadaiwa 916, wakiwemo wafanyabiashara wakubwa na wanasiasa, kurejesha fedha hizo.
Waraka wa zabuni unaeleza kuwa serikali inatafuta wakusanya madeni wenye uzoefu, huku tarehe ya mwisho ya maombi ikiwa Februari 20.
Vyanzo vya THISDAY vimedokeza kuwa PCCB, DCI, na vyombo vya usalama vimekuwa wakifuatilia sakata hili, ambapo orodha ya wadaiwa inahusisha wabunge, mawaziri wa sasa na wa zamani, na wafanyabiashara mashuhuri kama Yusuf Manji.
Mpango huu wa CIS, awali ulioendeshwa na Wizara ya Fedha kabla ya kuhamishiwa TIB mnamo 2002 ambapo uliwataka wanufaika kutoa asilimia 30 ya fedha walizoomba kama cash cover. Hata hivyo, wengi walichukulia kuwa hawatalazimika kulipa mkopo huo.
Serikali inakiri kuwa sehemu kubwa ya shilingi bilioni 180 haiwezi kukusanywa, kwani wadaiwa wengi aidha wametoweka au hawana uwezo wa kulipa.
Hata hivyo, inakadiriwa kuwa angalau shilingi bilioni 50 zinaweza kurejeshwa kutoka kwa kampuni zinazomilikiwa na wadaiwa hao mashuhuri.
==========================================================
AFTER a much-publicised crackdown on corruption at the Bank of Tanzania, the government appears ready to shift its focus onto the long-standing import support scheme scandal, where around 16.6 billion Japanese yen (approx. 180bn/-) mysteriously disappeared.
The Ministry of Finance has decided to hire private debt collection agencies to get a total of 916 debtors countrywide, comprising mainly prominent members of the local business community plus politicians, to return the outstanding funds to the government, and it is understood that a public tender document inviting private collection agencies to bid for the contract is already in circulation.
The Government of Tanzania, through the Ministry of Finance, intends to engage debt collectors during the financial year 2007/08 to collect all outstanding debts owing to the Commodity Import Support Fund (CIS) under the Japanese Non-Project Grant and Debt Relief Grant availed to various beneficiaries countrywide, says the tender document.
It sets a February 20 deadline for submission of all bids. The finance ministry is seeking private debt collectors with both the lowest bids and demonstrated manpower and experience for the job.
Well-placed sources have told THISDAY that the Prevention and Combating of Corruption Bureau (PCCB), the office of the Director of Criminal Investigations (DCI), and other law enforcement agencies have long been trailing the import support scam.
They say the names of various prominent members of parliament and cabinet ministers - both past and present - are among those featured in the list of 916 debtors.
Also strongly linked to the scam is the chief executive officer of Quality Group Limited, Yusuf Manji, who according to THISDAY investigations is believed to have pocketed billions of shillings out of the CIS scheme.
Our investigations have verified that the list of high-profile debtors includes a good number of influential MPs, retired or current cabinet ministers, and senior government officials. The wives of some prominent politicians are also mentioned in the list, our sources say.
Under the CIS scheme, beneficiaries were supposed to provide 30 per cent of the requested funds known as cash cover. In this light, it is understood that the listed debtors were basically duped into borrowing CIS funds they thought they would never have to repay.
The scheme was initially administered by the Ministry of Finance, but from September 2002 it was moved to the Tanzania Investment Bank (TIB), ostensibly for better management. It is understood that all attempts by TIB officials ever since to recover the money from the debtors have proved futile.
It is also understood that during a parliamentary session last year, the bank even sent debt collectors to Dodoma to discuss payment schedules with the defaulting MPs.
Soma pia:

- Serikali yaanza kutumia madalali kukusanya takribani Sh bilioni 200 zilizochotwa na watu na kampuni
- Serikali yakwama kukusanya madeni dhidi ya kampuni bandia
- Revealed: Rostam's govt debts scandal
- Vigogo waliokopa CIS wajisalimisha
- Government debt collectors confirm that Yusuf Manji is among the biggest debtors on the list
- Kampuni 25 zilizochota CIS kufilisiwa
- Vigogo wajisalimisha kwa Rais Magufuli. Ni wa makampuni yaliyochota Sh bil 300 za CIS
- Ufisadi wa CIS (zaidi ya Bilioni 180) kuibuliwa upya... Kikaango kwa Vigogo wa zamani (Wabunge, Mawaziri, n.k) chaja!
- Ufisadi wa CIS: Serikali yakunjua makucha! Manji, Mo Dewji, Wassira kikaangoni
- TUHUMA:Vigogo, wakalia mabilioni ya CIS