Ilishawahi kuona ama kusikia Mtu kaiibia Taasisi au shirika kuànzia mkurugenzi mpk huku chini wakaamua kumchoma Mtu Moto? All in all Vijana waache Wizi, watafute Kazi au vibarua vya kuwaingizia vipato Halali..Jamani msitujadili sisi vibaka wa kawaida tunaomba na mafisadi kwenye sekta mbalimbali za serikali muwajadili na kutengeneza Sheria Kali ili wabanwe na vyombo vya dola.
Maana nchi hii mafisadi papa huwa hawaguswi ila sisi vibaka wa uswahilini kila siku mnajadili jinsi ya kutuangamiza!
Na wakurugenzi pia wachomwe moto kwa wizi.Ilishawahi kuona ama kusikia Mtu kaiibia Taasisi au shirika kuànzia mkurugenzi mpk huku chini wakaamua kumchoma Mtu Moto? All in all Vijana waache Wizi, watafute Kazi au vibarua vya kuwaingizia vipato Halali..
Mfano huyo Rovania Ngole ni mtu kweli au NIDA wanashiriki kwa kutoa vitambulisho kwa watu hewa wenye fingerprint za kutunga tunga tu..mwingine huyo, ishini nae mimi nishamalizana nae hivo
Wazo zuri, labda niulize: Hiyo njia haiwezeshi watu kufanyiana ubaya, maana kwenye msafara wa mamba, kenge hawakosi?Baada ya kugundua kila ninapojadiliana na mtu kwa simu a u meseji kuhusu masuala ya kutumiana pesa, ghafla natumiwa meseji za “hiyo pesa tuma kwenye namba hii”, napendekeza hili
TCRA watunge kanuni zifuatazo za kisheria
1.) Iwe ni sharti la kisheria kwa kila mteja anayetumiwa meseji za “hiyo pesa tuma kwenye namba hii” , au utapeli mwingine, kui-report namba hiyo kwenye namba maalum iliyowekwa na TCRA, na adhabu kali itolewe kwa wateja ambao watakaa kimya bila ku-report namba hiyo, ikiwemo faini na/ au vifungo jela.
Pia kanuni hii iwashurutishe mitandao ya simu kuitangaza kanuni hii mara moja kwa wiki kwa kutuma SMS kwa wateja wao juu ya kanuni hii mpya ya kisheria.
2.) Kwakuwa namba nyingi zinazotumika kufanya utapeli zilisajiliwa kimaghumashi kwa kuweka dole gumba na kisha kusajili namba nyingi bila mhusika kujua;
TCRA watunge kanuni ya kisheria ambapo mitandao ya simu italazimika kutuma meseji kwa namba zote zilizosajiliwa kwa NIDA ambayo moja ya laini zake zimeripotiwa kutumika kwenye utapeli, hii inamaanisha kama mtu ana laini moja ya simu ambayo ndio anatumia yeye, ila kuna namba zingine zimesajiliwa kwa NIDA yake bila yeye kujua na zikaripotiwa kufanya utapeli, basi moja kwa moja mwenye NIDA yake atajua na atahitajika kufika polisi mara moja kutoa maelezo na kufuta usajili wa namba zingine baada ya kuonekana hausiki.
Hii ikifanyika kwa umakini na kwa muda mfupi, hawa matapeli wataishiwa namba za kufanyia utapeli, maana wahusika wenye namba zao watajulishwa papo hapo baada ya namba zao kutumika kufanyabu utapeli, na kabla hata hawajafanikiwa kutoa pesa waliyotumia, mwenye NIDA yake atakuwa amshazifuta laini za ziada kwa kutumia menu maalum ya SSD kwenye simu yake.
Nakaribisha maoni.
=========================
Kwakuwa inawezekana namba za marehemu pia zinatumika, mtu asipofika polisi ndani ya siku 2 au 3, namba zote zilizosajiliwa kwa NIDA hiyo zinafungwa. Kama yupo hai basi ataenda kwa mtoa huduma wake kuuliza tatizo nini, na hapo ataelekezwa afike polisi
===========================
Pia italeta msukumo zaidi endapo kila atakaetumiwa meseji ya tuma pesa kwenye namba hii akaweka screensoot yake hapa.., walau tusijue haadi ya namba, na wenye majina yao wakiona wanaweza kufuatilia kama namba zao zinatumika vibaya
View attachment 3013258
==========================
View attachment 3094875
Huwezi kuripoti namba ambayo si ngeni kwako (ipo kwenye contact, call logs na messages), pia huwezi kuireport namba ambayo haijakutumia meseji ya ‘hiyo pesa tuma kwenye namba hii’nk. Kufanya hivyo moja kwa moja wewe ndiye utakuwa mkosaji, na adhabu ya kiksheria itakuwa juu yako.Wazo zuri, labda niulize: Hiyo njia haiwezeshi watu kufanyiana ubaya, maana kwenye msafara wa mamba, kenge hawakosi?
Mfano watu wamekorofishana kihawara, halafu namba ya 'mbaya wake' anairipoti Tcra na kufungiwa, haliwezekani hilo?
Nadhani uzembe wa huyo marehemu ni kushindwa kuangalia salio kuthibitisha.Mzee Ayo afariki dunia baada ya kutapeliwa pesa mtandaoni. Umuhimu wa NIDA na alama za vidole kwenye usajili wa kadi za simu ni upi?
Habari wana JF Wakati swala la kusajili kadi za simu kwa kitambulisho cha nida na alama za vidole unaingia nchini tulipewa umuhimu mbalimbali wa jambo ilo ikiwemo swala la usalama na kudhibiti utapeli kwa njia ya mtandao. Nimeleta hoja hii kwani ni miaka sasa tangu swala la kujisajili kwa...www.jamiiforums.com
Nashindwa kuelewa, kama pesa ipo kwenye simu, kaenda kwa wakala kufanya nn?Nadhani uzembe wa huyo marehemu ni kushindwa kuangalia salio kuthibitisha.
Pia uzembe wa mtoa huduma ni kutuma salio bila kuangalia ballonce/cash toka kwa mteja.
Je, unafahamu kitu kinachoitwa Phone Spoofing?Baada ya kugundua kila ninapojadiliana na mtu kwa simu a u meseji kuhusu masuala ya kutumiana pesa, ghafla natumiwa meseji za “hiyo pesa tuma kwenye namba hii”, napendekeza hili