Utapeli wa huyu dada wamtokea puani

Jamaa angu uwe makini, hiii unayoireport ni jinai, utakuja takiwa kuwa shahidi kwa mambo ulio hadithiwa. Usione unatumia jina fake, kupatikana kwako ni rahisi sana
Ni tukio lililopita mkuu na wahusika wote walishasolve maana hata huyo aliyemfanyia mpaka Leo anakula mzigo na ndio aliyomponesha huo ugonjwa
 
Kama hukutunga hii habari basi hiyo ni jinai na hao waliofanya hivyo wanatakiwa wafungwe miaka 30 jela. Kutoa fedha kwa mwanamke siyo certificate ya kumbaka.
 
Aisee siyo fair lkn kwani si angemwambia tu amlipe hiyo pesa yake, huenda huyo dada angerudisha jamani, ila wanahisi wamemkoa huenda alienjoy sana tu, anapita mtoto sembuse mikuyenge mitatu tu aah🏃‍♀️
Huyo jamaa alikerwa kwasababu kuna muda anaua ratiba zake za utafutaji wa hela kwasababu ya miadi na huyo manzi mwisho wa siku manzi hatokei na ukichanganya na huduma alizogharamia Ndio kilichomsukuma afanye hivyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…