Babuu kitairi11 Member Joined Jul 20, 2022 Posts 5 Reaction score 3 Aug 20, 2022 #1 Ndugu zangu hivi unatakiwa kulipia costom fee before ata hujaona parcel yako au unapaswa lipia baada ya kuuona?
Ndugu zangu hivi unatakiwa kulipia costom fee before ata hujaona parcel yako au unapaswa lipia baada ya kuuona?
MUTUYAMUNGU JF-Expert Member Joined Jan 25, 2014 Posts 1,825 Reaction score 4,374 Aug 21, 2022 #2 Parcel inafunguliwa na MTU WA custom/TRA vitu vinathaminishwa mbele yako ndio anakadiria hiyo kodi kulingana na thamani ya mzigo
Parcel inafunguliwa na MTU WA custom/TRA vitu vinathaminishwa mbele yako ndio anakadiria hiyo kodi kulingana na thamani ya mzigo