Utapeli wa magari

Utapeli wa magari

James Kasonda

Member
Joined
Apr 2, 2012
Posts
84
Reaction score
49
Napenda kuwatahadharisha watu wanaotafuta kununua magari kupitia mtandao wa Zoom Tanzania. Mtandao huo umesaidia sana watu wengi kupata magari hapa hapa nchini. Lakini sasa wamejiingiza matapeli ambao wanadai wanagawa magari bure. Gharama yako ni kuisafirisha gari mpaka Dar!! Utagunduaje mitego yao? Kwanza utaona gari nzuri inauzwa kwa bei ya chee. Ukiwasiliana na muuzaji anakwambia kwamba kwa sasa yuko nje ya nchi (pamoja na hiyo gari) na anataka kuito hiyo gari kwa donation. Kwa hiyo anakwambia kama unaweza lipa kwanza gharama ya kuirudisha hiyo gari nchini na gari inakuwa mali yako! Ukithubutu umeliwa!
Angalia mawasiliano haya hapa chini:
Good Day ,

Thanks for your message regarding my car. My car is sitll available
with very good condition and everything is running well. I bought the
car in Tanzania inside Dar es Salaam with high price , the car is
still registered in Tanzania. I know that it will suprise you that i'm
selling the car with this cheap price but the fact is that for a
cogent reason I'm not selling the car anymore, I'm giving it away on
donation. I have found a new
job out of Tanzania since 2 months and im right now in west africa
precisly in Republic of Benin
with the car but the constitution here not allow the Right Hand Drive
car, that is a problem that i have so i decided to give the car away
to anybody who can ship the car back to Tanzania and take care of
it well. All i want is that you will pay me back the money that i
spent to bring the car here TSH 4,000,000 when the car
arrive in your city inside Tanzania. If you are ready to take the
car.I have contacted a transport company here and they said the
shipping cost to Tanzania is TSH 5,200,000 with all the taxes and it
will take only four days
for them to deliver the car in your city with all the cars paper works in order.
So the total cost that you will spend for the car is TSH
9,200,000(price on the ad)
.
If you are ok to pay this fees please contact the transport company to
have more details about the transport and the delivery service of the
car in your city inside Tanzania.

Here is the Transport Company contact:

ELT TRANSPORT

Email: ecolinetransport@fastservice.com

Tel : 0022 995 163 749


Here is the car details:


Manufacturer: Toyota
Condition: Used
Year: 2008
Transmission: Manual
Fuel: Diesel
Mileage: 92,000 km
Engine Size: 2,982 cc
Power: 169 ,Model: Hilux
rive Side: Right-hand drive Type: SUV
Colour: Black
Safety Features: Driver Airbag, Passenger Airbag, Anti-Lock Brakes
(ABS), Electronic Stability Program (ESP), Rear seat belts, 4-Wheel
Drive, Alarm
Exterior: Alloy Wheels, Tow Bar
Interior/Comfort Options: Air Conditioning, Central Locking, Electric Windows
In-Car Audio: Cassette Player, CD Player, CD Multichanger
Document: Present


Please get back to me if you need any clarification.

Thanks

Mr Nico Van Staden
 
Hilo Tangazo moja kwa moja ni la kitapeli ukiliona--anahamia west Africa alifika huko ndio akagundua ni left hand? hana watu aliofanya nao huku awadonatie? straight a scam yani....
 
Asante kwa taarifa, wapenda miteremko kaeni chonjo.
 
wewe mwambie kutokana na namba ya simu aliyotoa umeshajua yuko nchi gani, mwambie kaka ako yuko hapo hapo akupe adress yake hili aende akaikague gari na akishaiona atakwambia wewe ndipo utamtumia yeye hiyo mil 4 yake, kuhusu usafiri atashughulikia huyo kaka ako, uone kama atakujibu tena
 
wewe mwambie kutokana na namba ya simu aliyotoa umeshajua yuko nchi gani, mwambie kaka ako yuko hapo hapo akupe adress yake hili aende akaikague gari na akishaiona atakwambia wewe ndipo utamtumia yeye hiyo mil 4 yake, kuhusu usafiri atashughulikia huyo kaka ako, uone kama atakujibu tena

Big Up Mkuu !! Mule Mule yani....Nilitaka nitoe wazo kama lako !!! Jamaa anafkiri watu wajinga sana vile hatufikirii !! Shenz type !!
 
Kweli matapeli wameibuka kila kona!! Ila nashauri ukipata kitu kama email hizi za wajinga au kitu kama hicho ni bora shirikisha rafiki for opinioni ili ujue hata namna ya kuwanasa kwa kutumia vyombo vya dola ili iwe fundisho.
 
FASTSERVICE.COM .
Good Try tapeli wamekushtukia... Angalia ukiingia kwenye server ya hio email unapata hivi....

FASTSERVICE.COM .


magnifierjobsearch20010_small.jpg

[h=1]POPULAR INFO[/h][h=2]Popular Fastservice Searches[/h]
PhonesCell PhonesMobile Phone

Internet Internet ProvidersBroadband Internet

Insurance Life InsuranceAuto InsuranceHealth Insurance

Travel CruisesVacationCar Rental

HotelCheap HotelDiscount HotelHotel Deal

Health CareHealth PlansInsuranceHealthMedical

Business ServiceStart BusinessHome Base BusinessInternet Business

FASTSERVICE.COMWhen You Need It Now.

PhonePhone ServiceWireless PhoneMobileVOIP
FlightsCheap TicketsCheap FlightsDiscount TicketsAirline
HotelHotel Deals
ComputersComputer ProductCableSatellite
InternetInternet Providers




OTHER CATEGORIESSERVICECOMPUTERADVERTISINGWEB SITE HOSTINGBUSINESSSOFTWAREINTERNETDESIGNMARKETINGE COMMERCESMALL BUSINESSDIRECT TV CUSTOMER SERVICEALL YOU CUSTOMER SERVICEOUT SERVICE TAGSSERVICE UATT CUSTOMER SERVICEATT SERVICE




FASTSERVICE.COM is a publication of World.com Media. Other leading publications include Asia.com for the Best Deals on Travel in Asia, Popstar.com for the Latest Celebrity Entertainment News, USA.com making local USA search easy, Email.com for Business Email Software and Services, and Paris.com for Paris Travel, Hotel and Restaurant Information.
© 2008 World Media Group LLC.
 
Back
Top Bottom