Huey freeman
JF-Expert Member
- Sep 20, 2013
- 593
- 248
naona umeamua uhamishie mawazo yako binafsi kwenye thread....sasa hapo mdogo wangu tuchangie nini??....kesho asubuhi tu nikifika nitaongea na watu wa reception jiandae kupata jibu tofauti kesho...ila approach yako iwe nzuri wale akina dada/mama pale sometimes huwa wanakuwa michararuko hasa kwa masharobaro hawawapendi....so ukija uwepresentable mdogo wangu"majibu tutatoa leo jioni" Hii ndio kauli ya mtu wa reception wa tcu kwa siku nne sasa, kesho najipanga mapema saa kumi na moja jioni kuulizia post za transfer applicant sijui yule mama atanipa jibu gani. .
naona umeamua uhamishie mawazo yako binafsi kwenye thread....sasa hapo mdogo wangu tuchangie nini??....kesho asubuhi tu nikifika nitaongea na watu wa reception jiandae kupata jibu tofauti kesho...ila approach yako iwe nzuri wale akina dada/mama pale sometimes huwa wanakuwa michararuko hasa kwa masharobaro hawawapendi....so ukija uwepresentable mdogo wangu