Utapeli wa nyumba unaoshika kasi Mbagala Chamazi na Chanika

Nyumba bila lenta?
Acha kabisa mkuu jamaa wana mafundi wao special kwa ajili ya kazi hiyo na madalali wenye connection kiasi nyumba ikikamikika haichukui week 2 ishapata mteja.
 
Wastaafu wanapata tabu sana[emoji23][emoji23] wametumikia nchi kwa jasho na damu, wanatapeliwa na qnet,mrkuku,deci,aimglobal na sasa hivi kwenye nyumba[emoji16][emoji16]
Kuna watu wengi wanastaafu hawana nyumba au wana nyumba za kawaida so wanataka za kisasa na wengine wamefanya kazi mikoani sasa wanataka wakisfaaru waje waishi Dar.
 
Mkuu unaweza kutuwekea nyumba mbili tatu za aina hio? Ambao watu walinunua na sasa hivi zimebomoka au kutoa nyufa?! Maanake hizi Stori tumesikia muda mrefu.
 
Hapo kwenye Lenta umetulepeka puta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jenga lazima ziwe na lenta na Kuhusu ubora inategemea na Aina yako ya Akili, nipo Chamazi ukitaka kuziona hizo nyumba zikijengwa njoo.
 
Mkuu unaweza kutuwekea nyumba mbili tatu za aina hio? Ambao watu walinunua na sasa hivi zimebomoka au kutoa nyufa?! Maanake hizi Stori tumesikia muda mrefu.
utamu wa ngoma uingie ucheze
 
Jenga uza ni nyumba Bora kabisa na za Bei nafuu kwa maisha ya Mtanzania hayo unayosema ni tetesi na uzushi tu. mfano hizi nyumba nimeziona kuanzia msingi mpka upauaji na zipo mbagala maji matitu mtaa wa kwa ma sista zipo vizuri.

View attachment 1682208
 
Hapo kwenye Lenta umetulepeka puta [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jenga lazima ziwe na lenta na Kuhusu ubora inategemea na Aina yako ya Akili....nipo Chamazi ukitaka kuziona hizo nyumba zikijengwa njoo
Mkuu sisi nyumba ya familia haina linta ile ya kuzunguka ila kalinta kwenye madirisha na milango tu. Sasa hivi baada ya miaka ishirini ina nyufa balaa. Kuna wengine wanaweka frame halafu tofali zinapita juu. So inawezekana
 
Kuna watu wengi wanastaafu hawana nyumba au wana nyumba za kawaida so wanataka za kisasa na wengine wamefanya kazi mikoani sasa wanataka wakisfaaru waje waishi Dar.
Kha yan anatoka mkoan kuja dar uzeeni au anakua n mwenyeji wa dar, mkoan alikua kikaz?
 
Basi tuwaite wauaji wa wastaafu wetu,bado tunawahitaji wastaafu wa taifa letu, lugha nyingine senior Cetizen wetu
 
Hii post ni ya mwaka jana lakini bado nakupa pole. Mimi nilipeleka simu yangu kwa fundi kuweka kioo cha mbele ikarudi nusu ya screw za ndani hakuna. Sijawahi kuona nchi ambayo watu hawako makini kama Tanzania. Halafu Kariakoo pale kuna mafundi simu wazuri kweli kweli. Tatizo lao kubwa ni kwamba hawa-concetrate wakati wa kufanya kazi. Unakuta fundi anatengeneza simu huku anafanya mambo mengine kama matatu kwa mpigo. Na uaminifu ni sifuri.
 
Nafikiri sio utapeli maana unapata mali according to your money, kama unataka cement itoe matofali 18 utalipa milioni 100, hao jamaa acha wahudumie hiyo market ya watu wa chini kuna watu wanahitaji na ndio wanapoweza, usitake Mercedes Benz kwa bei ya Toyota
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…