Utapeli wa nyumba unaoshika kasi Mbagala Chamazi na Chanika

Usinunue nyumba, Jenga mwenyewe hakiki kiwanja kisije kikawa kwenye makaburi.
Unaweza kununua nyumba yenye mgogoro au nyumba alishawahi kukaa mfuga majini huko ndani.
Jenga mwenyewe.
 
Hapo Dawa ya hili suala lipo kwenye Mikataba.
Sheria ya mauziano ya nyumba zipo, ambapo Serikali inatakiwa ishirikishwe na kodi ya TRA kulipwa.
-Sheria imetaja wazi haki za manunuzi na za muuzaji.
-Lazima muwekeane kipengele cha gurantee.
Ndugu umenena
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…