Pesa ilivyokuwa ngumu.
Nilisafiri kutoka Dar kuja Musoma, njiani kwenye vituo vta miji mbalimbali wauzaji wa vyakula wamekuwa sio waaminifu kabisa.
Dodoma nauziwa kuku wanasema ni wa kienyeji kumbe ni kuku wa mayai aliyekomaa na kushindikana. Inapokuwa safarini usinunue kuku.
Maeneo mengine unauziwa vyakula kwa bei ya dhambi maandazi yaliyochoka kwa kuchanganya na ya juzi yake kwa bei ya shilingi 1000 na hapo unaambiwa kila kitu cha kutafunwa Bei iko juu ukipata bahati utaona na kama ukitembe na buku. Yaani chai buku, andazi buku, kitumbua buku, chips kavu 3000.
Utapeli huu unazidi kuenea tuwe màkini tunapokuwa safari.