Utapenda ufe kifo gani kati ya vifo hivi?

Utapenda ufe kifo gani kati ya vifo hivi?

mshikachuma

JF-Expert Member
Joined
Dec 2, 2010
Posts
2,853
Reaction score
627
Mathalani Jaji wa mahakama amekuhukumu kunyongwa hadi kufa (kutokana na kesi fulani).
Lakini kifo chako unaambiwa uchague kati ya hivi 5.....je,utachagua kipi?

1.kufungwa jiwe la kilo 50 shingoni na kukudidimiza baharini hadi ufe
2.Kukuchoma na moto ukiwa mzima kama wahindi(kuni juu wewe chini) hadi ufe
3.Kukufungia kwenye chumba chenye nyoka wakali(kama 100 hivi) walio na sumu kali hadi ufe
4.Kukufungia kwenye banda lenye simba 10 ambao hawajala wiki moja....hadi ufe
5.Au kukuchinja kwa kutenganisha kiwiliwili bila ganzi huku mikono na miguu vikiwa vimefungwa kamba....hadi ufe

Je, utachagua kifo gani kati ya hivi?
 
Nakuuliza hivi, Jee, una akili timamu au huwa unajisikia maumivu ya kichwa?
Jamani dada Faiza! hapo kosa langu ni nini? kwa dunia ya sasahivi unaweza kukutana na shuluba ya hukumu kama hizo
ndiyo maana nikaamua kuuliza ili nipate maoni ya watu tofauti
 
Mathalani Jaji wa mahakama amekuhukumu kunyongwa hadi kufa (kutokana na kesi fulani).
Lakini kifo chako unaambiwa uchague kati ya hivi 5.....je,utachagua kipi?

1.kufungwa jiwe la kilo 50 shingoni na kukudidimiza baharini hadi ufe
2.Kukuchoma na moto ukiwa mzima kama wahindi(kuni juu wewe chini) hadi ufe
3.Kukufungia kwenye chumba chenye nyoka wakali(kama 100 hivi) walio na sumu kali hadi ufe
4.Kukufungia kwenye banda lenye simba 10 ambao hawajala wiki moja....hadi ufe
5.Au kukuchinja kwa kutenganisha kiwiliwili bila ganzi huku mikono na miguu vikiwa vimefungwa kamba....hadi ufe

Je, utachagua kifo gani kati ya hivi?

nani kakuingiza hapa Jf??

nimechukia, hadi vitoto vya chekechea mnakuja huku, looooohhhhhhhh
 
Wewe ungependa kipi?
Yaani hata mimi mwenyewe nimewaza sana ni kifo gani nichaguwe kati ya hivyo 5
lakini bado sijapata jibu lol!...nikaona ni bora nitupie hapa jamvini uenda naweza pata jibu:lol:
 
Jamani dada Faiza! hapo kosa langu ni nini? kwa dunia ya sasahivi unaweza kukutana na shuluba ya hukumu kama hizo
ndiyo maana nikaamua kuuliza ili nipate maoni ya watu tofauti

Hivi ni wangapi duniani unaowajuwa wewe, wameshawahi kuchaguwa namna ya kifo chao. Waislaam tuna dua, tunaomba ili tuwe na mwisho mwema, "nusrul khatima" mwisho ulionusurika, au wengine huita "nurul khatima" mwisho wenye nuru.

Sijui wenzetu wa si Waislaam huwa wana dua zipi kwa hili lakini nionavyo mimi ni kuwa, hakuna binaadam aneombea kifo kibaya na mwisho mbaya, ndio mana nikakuuliza, una mataizo ya akili?
 
Mkuu hapo sina jibu maana haya maswali yako ni mojawapo yasiyo ni majibu hapa ulimwenguni. Suala la kifo halina uchaguzi kwa maoni yangu
 
Anataka kujiua ndio maana anaulizia maoni
 
mwisho tutaulizwa hivi mb...oo huwa inaonaje k usiku,loh!
 
sikutaka kuchekA, ila imebidi nicheke kwa mshangao. Hivi unawaza nini kichwani mwako.
OK! umeomba uchaguliwe, nakuchagulia uchukue jiwe la kilo 20 ww mwenyewe,
kodi ngalawa, hakikisha kuwa kamba umeifunga vizurikiunoni mwako pamoja na jiwe
la 20kg nenda kilindini, kisha jitose kwenye maji pamoja na jiwe lako.
ANGALIZO:usiseme mie ndiye niliyekuelekeza kama utapona
 
kutamka swala la mahakama sidhani kama inahalalisha hoja yako kukaa jukwaa hili, hii labda itambuliwe kama jokes au ukachangamshe chit chat kule.
 
mahakama za sasa hazitoi hukumu za kifo kwa kutumia njia ulizozitaja, ninazozifahamu ni kama

Kunyongwa hadi kufa ref. Sadam Hussein
Kudungwa sindano ya sumu- wanatumia marekani
Kukatwa kichwa
Kupigwa risasi
 
Back
Top Bottom