mshikachuma
JF-Expert Member
- Dec 2, 2010
- 2,853
- 627
Jamani dada Faiza! hapo kosa langu ni nini? kwa dunia ya sasahivi unaweza kukutana na shuluba ya hukumu kama hizoNakuuliza hivi, Jee, una akili timamu au huwa unajisikia maumivu ya kichwa?
Mathalani Jaji wa mahakama amekuhukumu kunyongwa hadi kufa (kutokana na kesi fulani).
Lakini kifo chako unaambiwa uchague kati ya hivi 5.....je,utachagua kipi?
1.kufungwa jiwe la kilo 50 shingoni na kukudidimiza baharini hadi ufe
2.Kukuchoma na moto ukiwa mzima kama wahindi(kuni juu wewe chini) hadi ufe
3.Kukufungia kwenye chumba chenye nyoka wakali(kama 100 hivi) walio na sumu kali hadi ufe
4.Kukufungia kwenye banda lenye simba 10 ambao hawajala wiki moja....hadi ufe
5.Au kukuchinja kwa kutenganisha kiwiliwili bila ganzi huku mikono na miguu vikiwa vimefungwa kamba....hadi ufe
Je, utachagua kifo gani kati ya hivi?
Jamani,kwani kuuliza ni makosa?huyu anamihemuko
Mkuu,mie siyo mtoto wa chekechea! ila nimeuliza tunani kakuingiza hapa Jf??
nimechukia, hadi vitoto vya chekechea mnakuja huku, looooohhhhhhhh
Yaani hata mimi mwenyewe nimewaza sana ni kifo gani nichaguwe kati ya hivyo 5Wewe ungependa kipi?
Jamani,kwani kuuliza ni makosa?
Jamani dada Faiza! hapo kosa langu ni nini? kwa dunia ya sasahivi unaweza kukutana na shuluba ya hukumu kama hizo
ndiyo maana nikaamua kuuliza ili nipate maoni ya watu tofauti
Nakuuliza hivi, Jee, una akili timamu au huwa unajisikia maumivu ya kichwa?