Utaratibu HESLB wale wa subject to veryfication.

enoc

Member
Joined
Aug 11, 2012
Posts
86
Reaction score
5
Unapaswa kufika bodin hapo msasan na kuingia chumba namba 24 utaambiwa tatizo lakn utaambiwa inabd uende payment department( no.B1) atakupatia peyment sleep kama utakua haujawai kuchukua na ku2mia mkopo utaandikiwa NIL lakn endapo ulpokea na kutumia mkopo utalpa 25% kama waelezavo, na kama uliomba mkopo ukaandikiwa nil au ulipewa kama ulitumwa chuon kwako na haukurudshwa bhaaas na wewe unaucka kulpa 25% kama kawaida, baada ya kupata payment sleep kama unahucka kulipa utalpa na baada ya hapo utaenda chumba no.28 nakuverify kwa wale ambao hawadaiw bac na vlevle kwenye chumba no.28 baada ya hapo n safar moja kwenda kwenye kampac na kuzsubr. kama utakua na maswal zaid ulza utajibiwa. Japo m c ofcer wa bod
 
mkuu naomba niweke angalizo tu kwamba, haijalishi kama ulikuwa registered chuoni au no, mie na jamaa kama wa3 hata chuoni kwenyewe ha2jawai kanyaga 2naambiwa 2na deni, na waka2lamba 25% yao,

sema yule mzee namba 28 yuko poa sana aisee,
 
inakuwaje kwa walio mkoa ss nd inakuwaje hzo info hawajapublish
 
yan hyo inamaansha kama unataka mkopo utafka 2 bodi hata ukiwa wap, maana cku ndo hzo znaisha na hapana utaratbu wa kukuwezesha we ambaye upo mkoan.
 
mkuu naomba niweke angalizo tu kwamba, haijalishi kama ulikuwa registered chuoni au no, mie na jamaa kama wa3 hata chuoni kwenyewe ha2jawai kanyaga 2naambiwa 2na deni, na waka2lamba 25% yao,

sema yule mzee namba 28 yuko poa sana aisee,

hyo kwel, we uliandika barua?
 
24 wanadai kua inakubd uandike barua lakn jamaa yule wa b1 anasema haina aja sasa bado hapajankalia sawa mkuu

28 ndio kila ki2, mie after kumaliza nilimuuliza kama kuna la ziada akaniambia 2meshakamilisha,
hao 24 hiyo barua unaandika ya nini sasa?
 
Back
Top Bottom