Utaratibu huu kwenye soka la bongo umetoka wapi?

mjanja wa kijiji

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2018
Posts
1,582
Reaction score
4,378
1. Kuona askari wenye virungu wakisindikiza wachezaji wakati wa kutoka au kuingia kwenye vyumba vya kubadilishia nguo.

2. Askari Polisi kujazana uwanjani na kuanza kutazama wachezaji ndani ya uwanja badala ya kulinda usalama kwa kuwatazama mashabiki.

3. Wakuu wa mikoa na wilaya kufanya uzinduzi wa mechi au kuwapo na mgeni rasmi kwenye mpira wa miguu.

4. Sijawahi kuona Askari wakishika silaha za moto kwenye viwanja vya mpira vya ulaya lakini kwa bongo ni kawaida tu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…