Tumeletewa Mkandarasi wa kuzoa takataka na uongozi wa Serikali ya Eneo letu, takataka zinachukuliwa baada ya wiki mbili. Naomba watu wanaohisika na Afya na Mazingira waingilie swala Hili na kuzuia huu wizi na kuepuka kurundika takataka kwa mda mrefu kama huko!
Watu wakishatoa rushwa na kupokea zinawapofua macho. Huyu Makandarasi usajiri wake uangaliwe Naona hata Kazi yake haipendi. Wenyeviti na Wajumbe wanaoingia mikataba ya namna hii wachunguzwe na kuchukuliwa hatua.
Poleni, hiyo mitaa yenu lazima inuke uvundo. Hapa nilipo taka zinazolewa mara 2 kwa wiki lakini ikitokea gari likaharibika hata wiki moja tu mtaani hakutamaniki