Utaratibu huu wa kusafirisha marehemu, unaleta ukakasi

Utaratibu huu wa kusafirisha marehemu, unaleta ukakasi

ANTDOTE

JF-Expert Member
Joined
Oct 14, 2023
Posts
216
Reaction score
609
Screenshot_20231011-142945.jpg


- Hii ni fair kwa heshima ya utu wa mwanadamu, japo ameshakuwa Marehem?

- Taratibu na Sheria za Nchi zinaruhusu?
 
Nilienda kijiji cha makonga wilaya ya newala 2010 kununua mbaazi hapo mtaani kulikuwa na mganga wa kienyeji mida ya saa 3 kasoro usiku tukapata taarifa kwa mganga kuna mgonjwa amefariki na huyo mgonjwa kwao ni mtama lindi,kila mwenye pikpiki wanaemstua abebe maiti anaogopa ikabidi hilo dili nilifanye niliwatoza elfu 90,sasa maiti nimeibeba kwa mfumo wa kumfunga kama huyo na nyuma akakaa mtu niliupiga mpini mpaka saa 7 usiku tunaingia mtama sasa kimbembe ni kwenye malipo yangu aisee mpaka kiasi kingine nilisamehe tu
 
Serikali haiwezi kuingilia kati maana haijajenga barabara za kutosha vijiji na mitaa yote, NB hiyo sio Bongo but by the way hata Bongo Ambulance namba moja ni bodaboda ila sio kwamba tunapenda.
 
Back
Top Bottom