Ukitaka kujiunga na vyuo vya wizara ya lazima ulipie shilingi 15,000/= ambazo hazirudishwi hata kama hautachaguliwa Naishangaa serikali yangu ya ccm ni kwa nini haina utaratibu unaofanana katika wizara zake.Kwa mfano wizara ya elimu wao unatuma maombi bila kulipia pesa.Nachelea kusema kuwa huu ni mradi wa wakubwa pale wizara ya afya. Kwa mwendo huu nchi yetu haiwezi kufikia malengo ya milenia ifikapo 2025.