Utaratibu huwa umekaaje?

Utaratibu huwa umekaaje?

Mia saba

JF-Expert Member
Joined
Mar 4, 2022
Posts
255
Reaction score
390
Kuna mahali niliwahi ona kampuni ya watu waliojiita wazawa wakitafuta mawazo kwa vijana, mawazo ya kibiashara ambapo hiyo taasisi ilianzisha kwa pesa za watu kwa miradi ya vanilla, na sasa nadhani imekufa hiyo taasisi.

Lengo juu ya huu uzi ni kuwa endapo kijana anapokuwa na wazo ambapo ataona linaweza kusaidia jamii na kumfungulia dunia.

Afanyaje ili iwe njia sahihi kulirasimisha kisheria Maana kwa kukosa uzoefu na pesa unaweza tajirisha watu wengine na mwenye wazo akabaki fukara.

Naomba kufahamu
 
Kuna mahali niliwahi ona kampuni ya watu waliojiita wazawa wakitafuta mawazo kwa vijana, mawazo ya kibiashara
Ambapo hiyo taasisi ilianzisha kwa pesa za watu kwa miradi ya vanilla, na sasa nadhani imekufa hiyo taasisi.
Lengo juu ya huu uzi ni kuwa endapo kijana anapokuwa na wazo ambapo ataona linaweza kusaidia jamii na kumfungulia dunia.
Afanyaje ili iwe njia sahihi kulirasimisha kisheria Mana kwa kukosa uzoefu na pesa unaweza tajirisha watu wengine na mwenye wazo akabaki fukara.

Naomba kufahamu
daydreamerTZ hapa huna msaada kwa huyu mdau chief?
 
Back
Top Bottom