Kuna mahali niliwahi ona kampuni ya watu waliojiita wazawa wakitafuta mawazo kwa vijana, mawazo ya kibiashara
Ambapo hiyo taasisi ilianzisha kwa pesa za watu kwa miradi ya vanilla, na sasa nadhani imekufa hiyo taasisi.
Lengo juu ya huu uzi ni kuwa endapo kijana anapokuwa na wazo ambapo ataona linaweza kusaidia jamii na kumfungulia dunia.
Afanyaje ili iwe njia sahihi kulirasimisha kisheria Mana kwa kukosa uzoefu na pesa unaweza tajirisha watu wengine na mwenye wazo akabaki fukara.
Naomba kufahamu