Utaratibu kujiunga bima ya afya kwa watu binafsi

Utaratibu kujiunga bima ya afya kwa watu binafsi

Gakon

Senior Member
Joined
Apr 21, 2019
Posts
123
Reaction score
855
Habari za muda huu wananzengo, bila shaka mko Salama na mnaendelea na shughuli za kujijenga
Nilikuwa nataka kufahamu kuhusu huduma hii ya bima ya afya Kwa sisi watu binafsi inapatikanaje. Mwenye uzoefu kidogo anisaidie maana nina uhitaji nayo nimeshauriwa kuipata ili kurahisisha matibabu pale Ocean road.

Kama kuna vitu vya muhimu vinavyohitajika kujisajili, mahali napoweza kujisajili na pia gharama zake zikoje.

Natanguliza shukrani zangu.
 
Habari za muda huu wananzengo,bila shaka mko Salama na mnaendelea na shughuli za kujijenga
Nilikua nataka kufahamu kuhusu huduma hii ya bima ya afya Kwa sisi watu binafsi inapatikanaje.mwenye uzoefu kidogo anisaidie maana nina uhitaji nayo nimeshauriwa kuipata ili kurahisisha matibabu pale ocean road.
Kama kuna vitu vya muhimu vinavyohitajika kujisajili,mahali napoweza kujisajili na pia gharama zake zikoje
Natanguliza shukrani zangu.

NHIF wana bima ya binafsi za vifurushi.

Shida package zao zote hazitibu magonjwa makubwa kama kansa, moyo, figo etc
 
NHIF wana bima ya binafsi za vifurushi.

Shida package zao zote hazitibu magonjwa makubwa kama kansa, moyo, figo etc
Niliambiwa hivyo lakini hio nataka Kwa ajili ya vipimo vidogo na vitu kama kumuona daktari.
 
niliambiwa hivo lakini hio nataka Kwa ajili ya vipimo vidogo na vitu kama kumuona daktari.
Ila baada ya kulipia utasubiri miezi mitatu kadi kuanza kufanya kazi, ila mwaka ukiisha ile miezi mitatu bila kutumia kadi haifidiwi, unalipia tena mwaka mpya.
 
Ila baada ya kulipia utasubili miazi mitatu kadi kuanza kufanya kazi, ila mwaka ukiasha ile miezi mitatu bila kutumia kadi haifidiwi, unalipia tena mwaka mpya.
Duuuh hio shughuli kwelikweli nilidhani labda naweza kuitumia hata ndani ya wiki.
 
Ila baada ya kulipia utasubili miazi mitatu kadi kuanza kufanya kazi, ila mwaka ukiasha ile miezi mitatu bila kutumia kadi haifidiwi, unalipia tena mwaka mpya.
Siku 30 tu
 
Duuuh hio shughuli kwelikweli nilidhani labda naweza kuitumia hata ndani ya wiki.
Hahaha haiwezekani mkuu hapo jipange kuanza kuitumia mwakani mwezi wapili
 
Back
Top Bottom