Government works on paper. Hela ni yako lakini lazima uiombe. Unajua maana ya dokezo???ππππ hii ya kuandika barua imeniacha hoi jamani loooh!
KAZI IMEANZA!NILITOA ANGALIZO HUMU KIPINDI WAMEANZA HII HUDUMA KUWA TATIZO LETU WATANZANIA AU WATENDAJI WA KITANZANIA NI LILELILE - UZEMBE UZEMBE UZEMBE!WATAUA HILI SHIRIKA MUDA SI MREFU!KWELI TRUMP ALIKUA SAHIHI KUTUITA LILE JINA WATU WEUSI!!INAKERA SANAππππ hii ya kuandika barua imeniacha hoi jamani loooh!
Kutwa kupiga mapicha kurekodi mavideo huku wakikatika maunoAsilimia 268.77777 wanaopanda Hilo dubwana ni CHAWA WA CCM
Tuwapeni muda,mimi nimewapa Xmas 3 πPoint ni zile zile tu wananguπ Bad leadership, Lack of government support, Poor infrastructure, Corruption, Poverty halafu tunamalizia na Land alienation kwa kubahatisha tu kama nayo inaingia kwenye essay yetu.
Na anayelivuruga lisiwe na ufanisi ni chawa wa chura KiziwiAsilimia 268.77777 wanaopanda Hilo dubwana ni CHAWA WA CCM
Nyani na bundi wameziba reli treni imewaogopa.Kwani kuna nini? Naona watu wanatoa tu povu