Utaratibu Mpya wa Kudahili Wanafunzi Vyuo

Utaratibu Mpya wa Kudahili Wanafunzi Vyuo

Mlenge

R I P
Joined
Oct 31, 2006
Posts
2,125
Reaction score
2,306
Inavyoonekana pamekuwa na mkanganyiko wa kudahili wanafunzi vyuoni mwaka huu 2017/18. Baadhi ya wanafunzi wamepata admission nyinginyingi kutegemea ufaulu wao, wakati wengine wamekosa hata admission moja.

Huenda ni kwa vile kila kozi, na kila chuo kilitoa kipaumbele kwa mwombaji aliyefaulu maksi nyingi bila kujali chuo alichochagua au kozi aliyochagua ni chaguo la ngapi. Jambo hili limeleta changamoto.

Pichani ni pendekezo la njia mbadala mchakato wa admission vyuoni.
udahili.png
 
Back
Top Bottom