Utaratibu mzuri wa kuendesha gari (Automatic Gear)

Unatakiwa uzime na kuwasha, ni sawa na manual tu ukiwa gear ya 5 unarudi 4 au 3 unachochea mzunguko kisha ukipanda mpaka 5 gari inachangamka fasta unaona kama ulikuwa 100 inaenda 120...130+ unamkata mtu fasta.
 
Unatakiwa uzime na kuwasha, ni sawa na manual tu ukiwa gear ya 5 unarudi 4 au 3 unachochea mzunguko kisha ukipanda mpaka 5 gari inachangamka fasta unaona kama ulikuwa 100 inaenda 120...130+ unamkata mtu fasta.
Shukrani. Umeniongezea kitu.
 
Umefafanua vizuri sana mkuu.
 
Kwa namna nilivyoelewa ni kwamba L, 2 & 3 inaumika ktk activities ambazo gari litahitajika kutumia nguvu kubwa zaidi ya kawaida, wakati OD ni kuifanya gari ifikie maximum gear bila limit.
 
Nimekwambia its like gear ya 5 though gari ina gears 4 so yenyewe ina "act" kama gear namba 5
Kubali kupata maarifa mapya mkuu.naona sasa unabisha tu ili ushinde..OD gear ipo kwenye mpangilia wa gear wa kawaida na ina gear ratio yake sema ipo below 1,kama alivysema jamaa hapo juu.Sasa wewe unasema in act like,how?
 
Shida nlionayo ni kuwa sijaweza kuweka gari kwenye space inayofaa nikiwa kwa jam, nishakosa kugonga kwa nyuma dinga za watu. Hehe. Hii inakuaje?
 
Kuita overdrive extra gear, sijajua walitaka kumaanisha nini. Ila over drive ni gear ratio kama gear ratios nyingine tu..

Maana halisi ya OD ni gear ratio inayosababisha input shaft izunguke taratibu kuliko output shaft, kwa lengo la kuipunguzia injini mzigo.

Kwa maaana hiyo hata gari za manual, zina OD. Ile gear ya 5 kweye manual gearbox ndo OD kwa sababu input shaft huzunguka taratibu kuliko output shaft.

Ni gear ratio kama gear ratio nyingine, na ina umuhimu wake, kuiita ya ziada sidhani kama ni sahihi sana!!

Kama umewahi kuendesha gari ya manual, utagundua ni ngumu sana ku-"pick up speed faster" ukiwa kwenye gear namba 5. Kwa hiyo ni ivyo ivyo ukiwa kwenye automatic , ni ngumu ku overtake faster ukiwa kwenye OD.

Pia kwenye gari ya manual ukiwa unashuka mlimani na gear namba 5, gari huserereka sana na itahitaji urudi gia za chini la sivyo utatumia brake sana.. Hivyo hivyo kwenye automatic itabidi utoe OD, la sivyo utatumia brake kupita kiasi.

Huwezi sikia gari ya manual wanasema ina gia 4 alafu na OD moja. Ila utasikia wanasema ina gear 5. Hivyo hivyo kwa gari automatic wakishasema ina gear 5 basi ujue OD ni ndani ya hizo gear 5.

Hiyo ndiyo OD. Kama bado unaiona ni "Extra", basi sawa, lakini maana yake ndo hiyo.
 
Approximately 3m
Yeah, hiyo sasa, huwa inanizingua saa ingine nakuta nakaribiana sana na gari iliyoko mbele, nimekuwa nikifanya sana hivi na si ati nataka, bado sijajulia kujipa distance vizuri. Hii inakuaje
 
Moja ya nyuzi bora kuwahi kutokea

Chizi maalifa maswali yako yamenifumbua macho kutoka kwa majibu ya watu waliokujibu
 
Hizo process za kukata kona nyingi sana.
Ubonyeze OD iwe Off. Then ukanyage brake, then ubadili gear kutoka D kwenda 2/3.
Mbona usumbufu Kama MANUAL Sasa?
Bora ununue manual tu ujue moja. Mambo ya kupiga mahesabu yote hayo yanachosha
 
Nmekuelewa mkuu
 
Yeah, hiyo sasa, huwa inanizingua saa ingine nakuta nakaribiana sana na gari iliyoko mbele, nimekuwa nikifanya sana hivi na si ati nataka, bado sijajulia kujipa distance vizuri. Hii inakuaje
Kibongo bongo ukiwa katika foleni wewe tupia macho katika bonet gari ya mbele yako hakikisha unaona plate namba yake ila lami hauioni.

Hiyo ni safe distance, hizo mita tatu ni sawa na futi tisa. Sasa ndugu yangu Kibongo bongo uwe katika foleni gari ya mbele yako ukialie umbali wa futi tisa kweli?!
 
Sijui ni nn mnazungumzia ...hio D ukikanyaga sana inashusha gia yenyewe
 
Gari zenu ni za namna gani?? Nimeendesha auto nyingi sana ukiweka D inatosha...inapangua n kupanga when needed....ukikanyaga sana computer ina sense unataka kimbia kama ulikuwa eg 80kph no 4 ukakanyaga ghafla zaidi inashusha gia yenyewe engine inavuma ,, vitz,verosa,ist,gx110, xtrail,range rover , na mengineyo sasa hayo mengne sijui mnatoa wap
 
Overdrive kwenye manual ni ipi?
 
Ukiendesha gari ikiwa kwa OD na isipokuwa kwenye OD kuna utofauti mkubwa tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…