king joniva
JF-Expert Member
- May 14, 2018
- 262
- 296
Ndugu, kwa yeyote mwenye utaalamu katika manunuzi ya mtandaoni. Je kunauwezekano wa kurudisha muamala wa manunuzi ya kimtandao yapoje. Hasa kwa njia ya master card..
Nawasilisha kwenu. Ahsanteni
Nawasilisha kwenu. Ahsanteni