king joniva JF-Expert Member Joined May 14, 2018 Posts 262 Reaction score 296 May 29, 2019 #1 Ndugu, kwa yeyote mwenye utaalamu katika manunuzi ya mtandaoni. Je kunauwezekano wa kurudisha muamala wa manunuzi ya kimtandao yapoje. Hasa kwa njia ya master card.. Nawasilisha kwenu. Ahsanteni
Ndugu, kwa yeyote mwenye utaalamu katika manunuzi ya mtandaoni. Je kunauwezekano wa kurudisha muamala wa manunuzi ya kimtandao yapoje. Hasa kwa njia ya master card.. Nawasilisha kwenu. Ahsanteni