Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Boss maelezo yako hayajakaa sawaMgogoro wa Ardhi.
Jamaa amepewa ushindi mahakama kuu, awali nilishinda kesi mahakama ya Ardhi. Yeye alikimbilia high court, akapewa ushindi. Hapa natakiwa nifanyeje.
Msaada wa utaratibu. Ninahofia atakuja kubomoa nyumba yangu
muamini wakiliwako.
Yule aliyeshinda Mahakama Kuu hawezi kubali, maana na yeye alivyo shinda Baraza la Aridhi alikataa kuyamaliza ki ndugu! Patamu hapo!!Kiufupi, wewe ushindi wako Baraza la Ardhi umefitika kwa hukumu ya Mahakama Kuu. Unachoweza kuafanya ni kukata rufaa Mahakama ya Rufaa IWAPO TU, Kuna Suala ambalo Mahakama Kuu ilikosea kwenye tafasiri ya Sheria.
Hivyo, unatakiwa kuomba certificate ya kukata rufaa hiyo hapo hapo Mahakama Kuu Ili uweze kwenda kufungua rufaa hiyo Mahakama ya Rufaa.
Ikiwa Mahakama Kuu itakukatalia hiyo certificate, unaweza kuomba Moja kwa Moja Mahakama ya Rufaa pamoja na sababu.
Lakini, Si muyamalize tu kiundugu na kibinadamu? Maana naona una harufu ya kwenda kushindwa tena na kuna gharama za kesi!
Hivi Baraza la Aridhi nalo huwa lina tafsiri Sheria!? Au wao wanaamua kutokana na wanavyotaka wao!!??Kiufupi, wewe ushindi wako Baraza la Ardhi umefitika kwa hukumu ya Mahakama Kuu. Unachoweza kuafanya ni kukata rufaa Mahakama ya Rufaa IWAPO TU, Kuna Suala ambalo Mahakama Kuu ilikosea kwenye tafasiri ya Sheria.