Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
Nadhani ni udhamini.. Nimeambiwa na NMB nao wanafukuzia hiyo nafasiNaomba anayeufahamu auweke hapa ili na mimi nielewe
Natanguliza Shukranii .
Nadhani ni udhamini.. Nimeambiwa na NMB nao wanafukuzia hiyo nafasiNaomba anayeufahamu auweke hapa ili na mimi nielewe
Natanguliza Shukranii .
Sahihi kabisa lakini imekuwaje iwe katikati ya ligi yenyewe ?Nadhani ni udhamini.. Nimeambiwa na NMB nao wanafukuzia hiyo nafasi
Kwasababu mkataba wa Azam umeisha katikati ya LigiSahihi kabisa lakini imekuwaje iwe katikati ya ligi yenyewe ?
Ni kwa vipi azam walisaini nusu ligi ?Kwasababu mkataba wa Azam umeisha katikati ya Ligi
Hawakusaini nusu Ligi. September 2019 walisaini miaka minne kudhamini hayo mashindano. Mkataba wao uliisha september 2023 ila hakupatikana mdhamini mwingine. Mwezi huu amepatikana CRDB hivyo wamempa haki ya jina lake kutumika.Ni kwa vipi azam walisaini nusu ligi ?