Naomba msaada wa kuelewa sheria ya nchi inasemaje kuhusu utaratibu wa kuhamisha hisa za kampuni "incorporate under the companies ordinance (Cap. 212). Kampuni ni Ltd.Naomba msiniambie ulizia BRELA, nahitaji mtu wa forum ambaye anaifahamu hiyo sheria.Ahsante