fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Ukisafiri unasafiri na Chupi moja mkuu?jamani nini maoni yenu,tunaposafiri,chupi tuwape watu wa hoteli wafue au tufue wenyewe,maana tunapofua wenyewe ukaukaji wake si mzuri maana tunaanikia ndani,na mara nyingi zinasababisha fungus sehemu za siri.Na shida nyingine ni kuqa wengine wanadai kuwa kuwapa watu wa hoteli kufua chupi sio ustaarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
HahahaUkisafiri unasafiri na Chupi moja mkuu?
CC Zero IQ
Ni vema kufua mwenyewe maana ni nguo privatejamani nini maoni yenu,tunaposafiri,chupi tuwape watu wa hoteli wafue au tufue wenyewe,maana tunapofua wenyewe ukaukaji wake si mzuri maana tunaanikia ndani,na mara nyingi zinasababisha fungus sehemu za siri.Na shida nyingine ni kuqa wengine wanadai kuwa kuwapa watu wa hoteli kufua chupi sio ustaarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
hata kama ni nyingi lkn kufua iliyo2mika ni muhimu mkuuUkisafiri unasafiri na Chupi moja mkuu?
CC Zero IQ
hahaha hatari kwelikweliaisee ngulumbili kazi,hawawezi kuangalia kitu kwa jicho la positive,wao ni kuponda,kuponda tu hawaoni kitu katika uhalisia wake
Sent using Jamii Forums mobile app
Chupi beba za kutosha kutumia safarini, utafua ukirudi nyumbani kwako.jamani nini maoni yenu,tunaposafiri,chupi tuwape watu wa hoteli wafue au tufue wenyewe,maana tunapofua wenyewe ukaukaji wake si mzuri maana tunaanikia ndani,na mara nyingi zinasababisha fungus sehemu za siri.Na shida nyingine ni kuqa wengine wanadai kuwa kuwapa watu wa hoteli kufua chupi sio ustaarabu
Sent using Jamii Forums mobile app
kWA HIYO SAFARI YA SIKU 20 UBEBE CHUPI 20!Chupi beba za kutosha kutumia safarini, utafua ukirudi nyumbani kwako.
Vinginevyo jock itch itakuhusu. Muwasho wa kuaibisha.
kwani hizo zina uzito wa kilo ngapi, yaani inashindikana nini?kWA HIYO SAFARI YA SIKU 20 UBEBE CHUPI 20!
kwani hizo zina uzito wa kilo ngapi, yaani inashindikana nini?[/QUOToLE WAKO UPITE NJIA YA ARUSHA WAKTI WA KURUDI KWAKO NA UKUTANE NA JAMAA WANAOPEKEUA MIZIGO KUTAFUTA MIRUNGI!