Matumaini yangu sote tu wazima na tuenaendelea na harakati za kufanya maisha kuwa mepesi.
Wadau mimi naomba kuulizia kama kuna mtu anajua juu ya Utaratibu wa kuomba eneo la kufanyia biashara stend mpya mbezi kwa upande wa wafanya biashara wadogo yahani wamachinga je?
Tunaandika barua kuomba eneo au na sisi tunamalizana mtandaoni kama wengine, na kama tunaandika barua tunaipeleka kwa mikono au kuna utaratibu gani?
Samahani anayefahamu naomba anisaidie mahana nimejaribu wapigia simu bila mafanikio