Crocodiletooth
JF-Expert Member
- Oct 28, 2012
- 20,561
- 24,428
Kwa sisi wa kitambo kidogo wakati wa mwalimu sote tunaukumbuka utaratibu wa detention.
Ilikuwa endapo umeikera serIkali basi kilichokuwa kikifanyika ni kukukamata kwa siri na kukuficha pahala.
Basi huko utasoma magazeti, utasikiliza radio, utakula vizuri kweli lakini ulipo, raia wa kawaida hawafahamu.
Basi utakaa humo weee mpaka mamlaka ikiona sasa inatosha inakuachia. Haikupeleki mbugani hapana, unaachwa katikati ya jiji ghafla uende zako.
Kidogo kulikuwa na utu. Hii piga, ua, toa macho, "ahhaa ahhaa hapana, kwa kweli"
#Nimemalizia kwa lugha ya mpendwa wetu.