Monyiaichi
JF-Expert Member
- Jul 5, 2012
- 1,826
- 508
Habari za mchana wana jamvi,
Nauliza kuhusu utaratibu wa hii hospitali yetu ya Muh kuidhinisha matibabu ya wagonjwa walioshauriwa kwenda kwenye matibabu zaidi nje ya nchi kutoka katika hospitali nyingine.
Binafsi sijakutwa na hali hii lakini nimekutana na watu kadhaa waliokwenda kuomba kuidhinishiwa barua zao ili wapate kwenda kutibiwa nje, wanalalamika kwa kweli na ukielezwa jinsi wanavyozungushwa ni as if Muh hawajali kabisa maisha/uhai wa wagonjwa, na sababu yake haswa mi sijaijua. kuna mmoja alisema aliambiwa mpaka wao na wenyewe waridhike kuwa huyo mgonjwa kweli ana uhitaji wa kwenda nje, mind you hapa nasimulia lakini huyo mgonjwa alikuwa na tatizo kiasi kuwa kuishi zaidi ya mwezi ni majaliwa ya Mungu, kwa hiyo ni kuharakishwa ili akapimwe na kupatiwa matibabu ambayo hapa nchini hayapo.
basi mpaka wiki mbili watu wanampeleka mgonjwa na kurudi nae bila kipimo chochote, wanapigwa tu kalenda, mpaka mgonjwa na ndugu zake wakaona ni bora waingie gharama ya kukopa hela waweze kusevu maisha ya ndugu yao. Thank God mgonjwa aliwahi hiyo service japo kwa tabu lakini karudi mzima. wa pili walihangaika mpaka wakakata tamaa, kuzungushwa sio kawaida, na wala sio kwamba jukumu la hela ni juu yao-idhini tu lakini utahangaika mpaka, mi naashindwa kufikiri ni rushwa wanataka kwenye hali ya namna hiyo?! Bahati mbaya huyu wa pili waliishia kwenda kwenye option ya dawa za miti shamba na Mungu ni mkubwa mgonjwa amepata ka unafuu-si kupona kabisa. Hivi kwenye hiyo sekta huwa huruma hamna? wenye pesa wana njia mbadala na wasio nazo? mtu alijitolea kutoa matibabu subject to barua ya approval kutoka hosp kubwa ya rufaa (wizara), kama wako serious kinachowafanya wasiwapime hao wagonjwa haraka ni kitu gani?