Utaratibu wa kazi ya Sensa ulianza vizuri ila umeharibika kwa kila Halmashauri kutoa majina

Utaratibu wa kazi ya Sensa ulianza vizuri ila umeharibika kwa kila Halmashauri kutoa majina

Kba

Member
Joined
Jul 15, 2022
Posts
5
Reaction score
5
Maombi ya sensa yalianza vizuri ila mwishoni wameharibu, hakuna utaritibu wa kupata majina huku baadhi ya Halmashauri tayari zimetoa majina ila nyingine bado

Kwanini NBS wasingetoa majina kwa ujumla mtandaoni Kila mwombaji akajiona kuliko sasa wanahangaika kupata majina na hakuna taarifa rasmi
 
Back
Top Bottom