Half Genious
JF-Expert Member
- Feb 28, 2017
- 491
- 784
Habari wadau nataka kupeleka mafuta ya kula ya alizet zanzibar , binafsi sijawahi kupeleka kitu zenji ila nasikia bidhaa hutozwa kodi nataka nijue kama mafuta ya kula yana utaratibu gani na kodi zinakokotolewa kwa kanuni gani!