Utaratibu wa kodi kupeleka bidhaa Zanzibar

Half Genious

JF-Expert Member
Joined
Feb 28, 2017
Posts
491
Reaction score
784
Habari wadau nataka kupeleka mafuta ya kula ya alizet zanzibar , binafsi sijawahi kupeleka kitu zenji ila nasikia bidhaa hutozwa kodi nataka nijue kama mafuta ya kula yana utaratibu gani na kodi zinakokotolewa kwa kanuni gani!
 
Nitakuulizia mkuu, maana nipo Zanzibar kikazi
 
Habari wadau nataka kupeleka mafuta ya kula ya alizet zanzibar , binafsi sijawahi kupeleka kitu zenji ila nasikia bidhaa hutozwa kodi nataka nijue kama mafuta ya kula yana utaratibu gani na kodi zinakokotolewa kwa kanuni gani!
Andaa 5% ya thamani ya mzigo kulipa TRA upande wa kule na 18% VAT inatozwa na ZRB. Sijajua kuhusu ZFDA na wizara ya kilimo kama watatoza kitu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…