ni usumbufua wa hali ya juu,.uongozi wa kile chuo ni mbovu sijapata kuona, wanafunzi wa pale wanasema msipoitwa kusaini boom ujue hamna kitu, semista iliyopita bodi ilileta boom chuoni katkat ya mwez wa 12 lkn wanafunz walipata fedha zao katkat ya january.