Utaratibu wa kuandaa mitihani ya taifa upoje?

Utaratibu wa kuandaa mitihani ya taifa upoje?

Edsger wybe Dijkstra

JF-Expert Member
Joined
Aug 22, 2019
Posts
244
Reaction score
491
Wakuu habari zenu . Ivi utaratibu wa kuandaa mitihani ya necta upoje kuanzia utungaji wa maswali, uchapaji wa mitihani, kuhifadhi mitihani mpaka kufikia kuisambaza katika vituo vya mitihani.mchakato huwa unakuaje wadau, nna hamu sana ya kujua na inshaallah mungu akijalia nije nifanye kazi huko baraza maana kazi ya kuandaa mitihani ya kitaifa ni kazi nzuri na ya heshima kubwa.karibuni wajuzi kwa michango zaidi.
 
Back
Top Bottom