Idadi ya wanachama kwa mujibu wa sheria ni watu 20, mnaandika katiba then mnamwalika afisa ushirika siku ya ufunguzi anawapa taratibu nyingineWakuu naomba kufahamishwa utaratibu kuwa kuanzisha na kusajili saccos ama kikoba..
Kwa maana ya idadi ya wanachama na vigezo muhimu vinavyozingatiwa kupata usajili.
Naomba kuwasilisha..
Saccoss na vicoba ni vitu viwili rofauti japo vinaendana kimalengo,...sasa ww unataka kuanzisha nini hasa,au unataka vyote kwa pamoja!?
Saccoss na vicoba ni vitu viwili rofauti japo vinaendana kimalengo,...sasa ww unataka kuanzisha nini hasa,au unataka vyote kwa pamoja!?
Hahhah sawa Mr,Akikujibu umjibu kwa ufasaha kisha unitag