Wana ndugu naombeni kujua utaratibu wa kuanzisha Mnada. Nina mpango wa kufanya mchakato wa kuanzisha mnada mtaani kwetu (kwenye kata yetu) sababu hatuna utaratibu huo kwa sasa
1. Ningependa kujua utaratibu upoje katika kuanzisha, kwenye ngazi ya serikali
2. Ni nani wanaisimamia au wahusika wakuu wa hii minada (serikali ya mtaa/ kata au halmashauri)
3. Tutauchochea vipi mnada ili upate walengwa (wauzaji na wanunuzi)
4. Ghaama za mchakato mzima
5. Ni siku gani nzuri ya kuwa na mnada
6. Wauzaji wanalipaje kodi (kiasi kinacholipwa na kinalipwa vipi)
N.b; Mtaani kwetu (au kwenye kata yetu) kuna eneo la wazi kubwa tu naona halitumiki na linaanza kuvamiwa na vibanda umiza, nataka tulihuwishe liwe eneo la mnada
* Msiniulize nakaa wapi