Utaratibu wa kubadili chombo cha moto ulichouziwa na serikali kuwa cha Binafsi

Utaratibu wa kubadili chombo cha moto ulichouziwa na serikali kuwa cha Binafsi

DENAMWE

JF-Expert Member
Joined
Dec 29, 2019
Posts
862
Reaction score
871
Niliuziwa pikipiki na serikali.

Sasa Nataka kuisajili Binafsi.
Nimeshapata hati ya mkaguzi wa na gari [Vehicle Inspector] kuidhininisha kuuziwa/kuinunua.

Je hatua gani inafuata?
 
Njoo TEMESA tukuhudumie.
Sisi ndio wamiliki wa vyombo vyote vya moto hapa bongo.
Nenda ofisi iliyo karibu nawe uhudumiwe.
Don't pay cash to any person
Asante sana.
Ofisi zenu zipo wapi jijini Mwanza na mjini Bukoba?
 
Back
Top Bottom