Utaratibu wa kubadili eneo la biashara

Utaratibu wa kubadili eneo la biashara

wadray

New Member
Joined
Nov 21, 2016
Posts
3
Reaction score
3
Habari ndugu zanguni, naombeni msaaada wa kiufahamu hivi ikiwa unataka kuhamisha biashara yako kutoka mtaa mmoja kwenda mtaa mwingine lakini biashara ni ileile na ni ndani ya wilaya na mkoa huohuo, Je kuna haja ya kwenda TRA na HALMASHAURI kwa ajili ya kubadili location ya biashara au unasubiri mwisho wa mwaka ukienda ku renew ndo unabadili location??
 
Sasa kama awali uliandika maelezo yako uko Mtaa A! Baadaye ukahamishia biashara yako Mtaa B! Huoni kuna ulazima wa kurudi tena huko TRA kubadili anuani?

Maana hao jamaa wana mkeka wote wa wafanyabiashara wao, na maeneo wanayofanyia hizo biashara. Ili iwe rahisi kukutembelea, nenda kabadili tu anuani yako.
 
Ngoja waje kukupa muongozo, though taarifa za mabadiliko ni muhimu kuwapeleka ili usije kuonekana umehujumu...
 
Back
Top Bottom