Wakuu heshima kwenu. Kwa yeyote anaejua utaratibu wa kubadilisha pesa chakavu (sio wale wanaonunua mtaani) naomba kujuzwa tafadhali.
a) niende wapi?
b) kuna kiasi cha kuanzia?
c) ziwe katika uchakavu / uharibifu wa kiwango gani?
c) kuna gharama zozote zinahitajika?
Natanguliza shukrani kwenu [emoji109]