Utaratibu wa kubadilishana kituo cha kazi

Utaratibu wa kubadilishana kituo cha kazi

suk

New Member
Joined
May 20, 2015
Posts
4
Reaction score
0
Ndugu zangu naomba mwenye kujua utaratibu wa kubadilishana kituo cha kazi ukishampata mtu wa kubadilishana nae mnafanyaje. Mtu yupo nmeishampata lakin hatujui utaratibu, sote ndo tumeanza kazi. Nitashukuru kwa Maelekezo yenu.
 
Suala ni kwamba wote wawili mnatakiwa kuandika barua za kuomba kuhama huku ukieleza sababu za kuhama, na barua hizo zinatakiwa zipitie kwa wakuu wako ukianzia kwa mkuu wa shule, afisa elimu, mkurugenzi na kwa afisa elimu na mkurugenzi wa kule unakotaka kwenda na mwenzako hivyo hivyo anatakiwa afanye, na kwa maelezo zaidi unaweza tembelea tovuti ya TAMISEMI
 
Nashukuru mkuu, hivyo naandka kwenda tamisemi au naandka kwa mkurugenz, je naruhusiwa kuandka sasa au mpaka TSD, na hko tunapotaka kwenda kwa afsa elimu na mkurugenz tunatumaje, kwa posts au kwenda kuwaona au unamtumia unayebadilishana naye anawasilisha. Nisaidie mkuu maana tpo chali.
 
njoo facebook search group.inaitwa WAALIMU WENYE.HITAJI.LA KUBADILISHANA VITUO VYA KAZI

utapata mtiririko.mzuri.zaid
 
Back
Top Bottom