fimboyaasali
JF-Expert Member
- Jan 14, 2011
- 8,617
- 8,244
Nina kibiashara cha mini super market sasa nataka kufanya biashara ya malipo kwa mtandao yaani mpesa,tigo pesa,eatel money na kuwa wakala wa luku,mwenye ujuzi na haya mambo anishauri nianzie wapi au nifanyeje